Doctormwanja nakuletea mafunzo ya tiba asilia

 

KITUNGUU MAJI

Kitunguu maji ni kiungo cha mboga, na watu wengi tunakifahamu kama ni kiungo tu.

Leo nitawaeleza kitu juu ya Kitunguu maji kwenye kutibu na kupunguza makali ya shida.

Kitunguu maji unaweza ukakitumia kwa kujitibia fangasi, u.t.i, pressure n.k

Kama una pressure ya kupanda unaweza ukatafuna kipande cha Kitunguu maji na pressure yako ikashuka. 

Kama unasumbuliwa na U.T.I  kwa mwanamke  menya Kitunguu maji kata kipande weka ukeni valia na chupi, Kitunguu maji kitanyonya sumu ya shida iyo na Kitunguu kitabadilika rangi na utapona shida hiyo.

Na kwa fangasi pia utafanya hivyo hivyo  ukiitaji kuondoa vidudu hivyo.

Ila kwa fangasi unaweza ukakiponda ponda na kupakaa sehemu ya siri, ila inamaumivu kidogo.

  Pia Kitunguu maji husaidia kusafisha macho kwa mgonjwa macho.

Dr mwanja 

0687288153

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIVUMBASI.

MTAMBA NI NINI?