KIVUMBASI.
Kivumbasi ni mjani ambao hutibu na kupooza makali ya homa na shida nyingine. Mjani huu utibu kabisa magonjwa ya majini na ya kichawi. Kwa mtu mwenye jini au alietupiwa uchawi, achume Jani la kivumbasi na atie kwenye ndoo ya maji achanganye na ndimu saba akatie humo kwenye ndoo, atie jivi la jikoni lililojizima wenyewe na kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu akiponde ndipo aweke kwenye maji hayo. Baada ya hapo ajimwagie kuanzia kichwani mpaka miguuni. Kama ni uchawi au ni jini atatoka mwenyewe. Ukiona umefanya hivyo na bado jini hajatoka basi tafuna majani kadhaa ya kivumbasi au ponda majani hayo na uwe unga mlaini pikia kwenye uji utakunywa. Na unga mwingine wa kivuli jifushie asubuhi na usiku. Hapo razima upone ukifanya hivyo. KWA MTOTO ALIKUMBWA NA DEGEDEGE AU UGONJWA WA KITOTO. Utatumia kama nilivyoeleza hapo juu tu. Utachuma Jani la kivumbasi na kuchanganya kwenye ndoo ya maji na ndimu pamoja kitunguu swaumu na jivu Kisha utamuogesha mtoto. Kwa maitaj...

Tunashukuru
ReplyDelete