TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE

 Tangawizi ni kiungo kama viungo vingine vinavyotumika katika chakula na chai. Ukiachana na kazi hiyo ya kuwa kiungo muhimu katika chakula kama tunavyoifahamu, mimi nitawajulisha faida ya kutumia Tangawizi.



Ukiwa unakunywa chai ya tangawizi utakuwa unajitibia maradhi mengi zaidi ya 40.

Kuna maradhi mengine mtu kikawaida hajijui mpaka akapime, ndipo Daktari amwambie kua unatatizo furani. 

Ila kwa kutumia tangawizi utakuwa unajitibia mpaka Yale maradhi nyemelezi ambayo bado hajaanza kukuasiri sana au kujitokeza.

Tangawizi inaondoa sumu mwilini na kuweka damu yako safi. 

Kunywa chai ya tangawizi ili upate Afya mzuri. 

TANGAWIZI HUTIBU 👇👇

1.HOMA YA MAFUA

2.MSUKUMO WA DAMU

3.KANSA 

4.UVIMBE TUMBONI

5.BAWASIRI

6.CHOO KIGUMU

7.PRESSURE 

8.UKOSEFU WA HAMU YA KULA

9.KISUKARI

10.TUMBO KUJAA GESI

11.KIFUA

12.TEZI DUME

13.KUSAFISHA KIBOFU CHA MKOJO

14. MAUMIVU YA VIUNGO 

15.KUONDOA KEMIKALI MWILINI

        N.K

Ili kujitibia maradhi hayo unashauriwa uwe unakunywa chai ya tangawizi isiyoweka majani ya chai. 

Na itapendeza zaidi kama utatumia mchai chai.

Kunywa chai ya tangawizi kutwa mara tatu kila siku kama unatatizo lolote. Kama hauna tatizo basi pendelea chai ya tangawizi japo kwa siku mara mbili tu, hii inasaidia kuua vijidudu vya magonjwa mbali mbali.

Lakini pia unaweza ukawa unatafuna tangawizi kwa siku japo mara moja nayo ni mzuri sana. 


Wapenzi wasomaji unaweza ukaniuliza swali kupitia Mada hii au ukaniachia ujumbe wako wa maoni au pongezi.  Pia ukiitaji unga wa tangawizi au tangawizi mbichi tuwasiliane kwa namba 0687288153 pia napatikana whatsapp kwa namba hiyo hiyo.   Asanteni   by Dr Mwanja 


Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIVUMBASI.

Doctormwanja nakuletea mafunzo ya tiba asilia

MTAMBA NI NINI?