JE UNAUFAHAMU MTI WA MBINGI?


Mbingi ni mti ambao huota polini bila kupandwa. Na matunda yake hutumika kwa kula kama matunda ya miti mingine. 
Mti huu unatibia maradhi ya ndani ya mwili na nje ya mwili.
Hapa nakuwekea faida ya Mti huu wa Mbingi.
1.Mbingi unatibia chango 
2.Hutibia macho kwa yule ambae haoni mbali 
3.Hutibu Miwasho ya mwili/fangasi 
4.Huondoa kivuli kibaya (jini)
5.Huondoa kivuli cha mtu aliekufa kama unamuota au kumuona anakujia, wakati mtu huyo ameshakufa na kuzikwa.
6.Hutibu meno.

JINSI YA KUJITIBU.

1.CHANGO
Chama majani ponda upate unga na utatumia kunywa na uji asubuhi na usiku.
2.MACHO
ponda majani yake Kisha tumia kunawa asubuhi, mchana na usiku. 
3.FANGASI
Majani ponda Kisha pakaa 
4.KUONDOA JINI MBAYA 
Majani yake ponda Kisha kuoga mlangoni. 
5.KUONDOA KIVULI CHA MTU ALIEKUFA.
Ponda majani yake Kisha tumia kunawa usoni,mikononi na miguuni  kwa siku saba 
6.MENO
Chimba mzizi wa mti huu wa Mbingi na utachemsha kisha utasukutua mdomoni upande wa jino bovu utaweka dawa kwa dakika 3 na kutema 
ASANTENI SANA USIKOSE KUTEMBELEA BLOG YETU HII ILI UJIFUNZE TIBA NYINGI. 
KWA MAWASILIANO PIGA 
0687288153

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIVUMBASI.

Doctormwanja nakuletea mafunzo ya tiba asilia

MTAMBA NI NINI?