UNGA WA MLONGE




 MLONGE KWENYE TIBA. 

Mlonge ni mti ambao unapandwa majumbani na wengine upanda kama shamba la kilimo cha mlonge.

Mlonge ni mboga lakini pia ni tiba.

Mlonge umejahaliwa, huu mti kila kitu chake kinafaida kwenye upande wa matibabu. 

Mzizi wa mlonge ni dawa kubwa ya jino.

Ukichimba ukachemsha ukatumia kusukutua mdomoni meno huwa imara.

Majani yake pia ni tiba na mbegu zake vilevile. 

Majani yake hufaa kwa mboga lakini pia unaweza ukatumia kwa tiba.

Chama majani ya mlonge na uyaanike ndani yasipatwe na mwanga wa jua,   yakikauka yasage upate unga msafi mraini. 

Unga wa majani ya mlonge hutibu maradhi kalibia 150 

Hapa nitaeleza kwa uchache tu ila usikose kufuatilia au kupitia Mada zetu kwenye blog yetu hii ili kuweza kupata faida zingine za mlonge. 

UNGA WA MLONGE HUTIBU👇

1.U.T.I

2.Pressure 

3.Kisukari

4.Kuongeza CD4 kwa haraka 

5.nguvu za kiume 

6.kuondoa uvimbe kwenye kizazi 

7.Macho

8.Malaria 

9.Miguu kuwaka moto

10.Homa ya matumbo

11.Mwanamke asiepata hedhi zake 

12.P.I.D

13.Kupooza viungo 

14.Chango

15.Huondoa sumu mwilini.

Tumia unga wa mlonge kwa kujenga Afya yako na kwakujitibia maradhi 

Utakunywa unga wa mlonge kwenye maji ya vuguvugu au uji.

Hapo nimeeleza kwa uchache sana ili nisikuchoshe msomaji wangu ila nitakuwa naitoa hii Mada ya mlonge kidogo kidogo kila siku. 

Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa Mada zangu utafaidika zaidi. 

Piga simu 0687288153/0764288155

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIVUMBASI.

Doctormwanja nakuletea mafunzo ya tiba asilia

MTAMBA NI NINI?