TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE
Tangawizi ni kiungo kama viungo vingine vinavyotumika katika chakula na chai. Ukiachana na kazi hiyo ya kuwa kiungo muhimu katika chakula kama tunavyoifahamu, mimi nitawajulisha faida ya kutumia Tangawizi. Ukiwa unakunywa chai ya tangawizi utakuwa unajitibia maradhi mengi zaidi ya 40. Kuna maradhi mengine mtu kikawaida hajijui mpaka akapime, ndipo Daktari amwambie kua unatatizo furani. Ila kwa kutumia tangawizi utakuwa unajitibia mpaka Yale maradhi nyemelezi ambayo bado hajaanza kukuasiri sana au kujitokeza. Tangawizi inaondoa sumu mwilini na kuweka damu yako safi. Kunywa chai ya tangawizi ili upate Afya mzuri. TANGAWIZI HUTIBU 👇👇 1.HOMA YA MAFUA 2.MSUKUMO WA DAMU 3.KANSA 4.UVIMBE TUMBONI 5.BAWASIRI 6.CHOO KIGUMU 7.PRESSURE 8.UKOSEFU WA HAMU YA KULA 9.KISUKARI 10.TUMBO KUJAA GESI 11.KIFUA 12.TEZI DUME 13.KUSAFISHA KIBOFU CHA MKOJO 14. MAUMIVU YA VIUNGO 15.KUONDOA KEMIKALI MWILINI N.K Ili kujitibia maradhi hayo unash...