Posts

Showing posts from August, 2024

TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE

Image
 Tangawizi ni kiungo kama viungo vingine vinavyotumika katika chakula na chai. Ukiachana na kazi hiyo ya kuwa kiungo muhimu katika chakula kama tunavyoifahamu, mimi nitawajulisha faida ya kutumia Tangawizi. Ukiwa unakunywa chai ya tangawizi utakuwa unajitibia maradhi mengi zaidi ya 40. Kuna maradhi mengine mtu kikawaida hajijui mpaka akapime, ndipo Daktari amwambie kua unatatizo furani.  Ila kwa kutumia tangawizi utakuwa unajitibia mpaka Yale maradhi nyemelezi ambayo bado hajaanza kukuasiri sana au kujitokeza. Tangawizi inaondoa sumu mwilini na kuweka damu yako safi.  Kunywa chai ya tangawizi ili upate Afya mzuri.  TANGAWIZI HUTIBU 👇👇 1.HOMA YA MAFUA 2.MSUKUMO WA DAMU 3.KANSA  4.UVIMBE TUMBONI 5.BAWASIRI 6.CHOO KIGUMU 7.PRESSURE  8.UKOSEFU WA HAMU YA KULA 9.KISUKARI 10.TUMBO KUJAA GESI 11.KIFUA 12.TEZI DUME 13.KUSAFISHA KIBOFU CHA MKOJO 14. MAUMIVU YA VIUNGO  15.KUONDOA KEMIKALI MWILINI         N.K Ili kujitibia maradhi hayo unash...

Doctormwanja nakuletea mafunzo ya tiba asilia

Image
  KITUNGUU MAJI Kitunguu maji ni kiungo cha mboga, na watu wengi tunakifahamu kama ni kiungo tu. Leo nitawaeleza kitu juu ya Kitunguu maji kwenye kutibu na kupunguza makali ya shida. Kitunguu maji unaweza ukakitumia kwa kujitibia fangasi, u.t.i, pressure n.k Kama una pressure ya kupanda unaweza ukatafuna kipande cha Kitunguu maji na pressure yako ikashuka.  Kama unasumbuliwa na U.T.I  kwa mwanamke  menya Kitunguu maji kata kipande weka ukeni valia na chupi, Kitunguu maji kitanyonya sumu ya shida iyo na Kitunguu kitabadilika rangi na utapona shida hiyo. Na kwa fangasi pia utafanya hivyo hivyo  ukiitaji kuondoa vidudu hivyo. Ila kwa fangasi unaweza ukakiponda ponda na kupakaa sehemu ya siri, ila inamaumivu kidogo.   Pia Kitunguu maji husaidia kusafisha macho kwa mgonjwa macho. Dr mwanja  0687288153

UNGA WA MLONGE

Image
 MLONGE KWENYE TIBA.  Mlonge ni mti ambao unapandwa majumbani na wengine upanda kama shamba la kilimo cha mlonge. Mlonge ni mboga lakini pia ni tiba. Mlonge umejahaliwa, huu mti kila kitu chake kinafaida kwenye upande wa matibabu.  Mzizi wa mlonge ni dawa kubwa ya jino. Ukichimba ukachemsha ukatumia kusukutua mdomoni meno huwa imara. Majani yake pia ni tiba na mbegu zake vilevile.  Majani yake hufaa kwa mboga lakini pia unaweza ukatumia kwa tiba. Chama majani ya mlonge na uyaanike ndani yasipatwe na mwanga wa jua,   yakikauka yasage upate unga msafi mraini.  Unga wa majani ya mlonge hutibu maradhi kalibia 150  Hapa nitaeleza kwa uchache tu ila usikose kufuatilia au kupitia Mada zetu kwenye blog yetu hii ili kuweza kupata faida zingine za mlonge.  UNGA WA MLONGE HUTIBU👇 1.U.T.I 2.Pressure  3.Kisukari 4.Kuongeza CD4 kwa haraka  5.nguvu za kiume  6.kuondoa uvimbe kwenye kizazi  7.Macho 8.Malaria  9.Miguu kuwaka moto 10....

MTAMBA NI NINI?

Image
  MTAMBA NI NINI? Mtamba ni mtundurusi unaojiotea kwenye mabonde au msitu mkubwa wenye vibonde vya maji maji. Mtamba unapatikana kwa wingi maeneo ya kusini, Mtundurusi huu ni moja ya tiba muhimu sana.  Kwa wale wawindaji au wazee wa zamani wanaufahamu vizuri sana.  Ukiukata unahasili ya kutoa maji maji na hayo maji wawitandaji wengi huyatumia kama maji ya kunywa. Hapa nitaelezea kwa uchache faida ya Mtamba. 1. Mtamba unatibia Nguvu za kiume.  2. Mtamba unatibia chango  3. Mtamba unatibia bawasili 4. Mtamba unatibia maradhi ya miguu kuwaka mito/ganzi. 5. Mtamba unatibia vidonda vya tumbo  6. Mtamba unatibia mfupa uliovunjika  7. Mtamba unatibia U.T.I 8. Mtamba unatibia kisukari tena kwa halaka sana. 9. Mtamba unatibia pressure  10. Mtamba unaondoa vijiwe kwenye figo/mapafu 11. Mtamba huondoa uvimbe kwenye via ya uzazi  12. Mtamba hutibia kiarusi  JINSI YA KUJITIBU  Utachimba mzizi wa mtamba na utachanganya na mzizi wa mtopetope Kisha...

KIVUMBASI.

Image
Kivumbasi ni mjani ambao hutibu na kupooza makali ya homa na shida nyingine. Mjani huu utibu kabisa magonjwa ya majini na ya kichawi. Kwa mtu mwenye jini au alietupiwa uchawi, achume Jani la kivumbasi na atie kwenye ndoo ya maji achanganye na ndimu saba akatie humo kwenye ndoo, atie jivi la jikoni lililojizima wenyewe na kitunguu swaumu.  Kitunguu swaumu akiponde ndipo aweke kwenye maji hayo. Baada ya hapo ajimwagie kuanzia kichwani mpaka miguuni. Kama ni uchawi au ni jini atatoka mwenyewe. Ukiona umefanya hivyo na bado jini hajatoka basi tafuna majani kadhaa ya kivumbasi au ponda majani hayo na uwe unga mlaini pikia kwenye uji utakunywa. Na unga mwingine wa kivuli jifushie asubuhi na usiku.  Hapo razima upone ukifanya hivyo.  KWA MTOTO ALIKUMBWA NA DEGEDEGE AU UGONJWA WA KITOTO. Utatumia kama nilivyoeleza hapo juu tu.  Utachuma Jani la kivumbasi na kuchanganya kwenye ndoo ya maji na ndimu pamoja kitunguu swaumu na jivu Kisha utamuogesha mtoto.   Kwa maitaj...

JE UNAUFAHAMU MTI WA MBINGI?

Image
Mbingi ni mti ambao huota polini bila kupandwa. Na matunda yake hutumika kwa kula kama matunda ya miti mingine.  Mti huu unatibia maradhi ya ndani ya mwili na nje ya mwili. Hapa nakuwekea faida ya Mti huu wa Mbingi. 1.Mbingi unatibia chango  2.Hutibia macho kwa yule ambae haoni mbali  3.Hutibu Miwasho ya mwili/fangasi  4.Huondoa kivuli kibaya (jini) 5.Huondoa kivuli cha mtu aliekufa kama unamuota au kumuona anakujia, wakati mtu huyo ameshakufa na kuzikwa. 6.Hutibu meno. JINSI YA KUJITIBU. 1.CHANGO Chama majani ponda upate unga na utatumia kunywa na uji asubuhi na usiku. 2.MACHO ponda majani yake Kisha tumia kunawa asubuhi, mchana na usiku.  3.FANGASI Majani ponda Kisha pakaa  4.KUONDOA JINI MBAYA  Majani yake ponda Kisha kuoga mlangoni.  5.KUONDOA KIVULI CHA MTU ALIEKUFA. Ponda majani yake Kisha tumia kunawa usoni,mikononi na miguuni  kwa siku saba  6.MENO Chimba mzizi wa mti huu wa Mbingi na utachemsha kisha utasukutua mdomoni upande wa...